myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila jambo na muda wake
Tatizo shemeji response yake kama inawakaribishaHuyu jamaa anakilanga cha mapenzi
Ukiwepo wewe hapa mi siondoki. Na Andjul. Na Mzee wa pwani. Na bro...Huku siku hizi stori zimepungua ndo mana natangatanga
Halafu leo hata sioni dalili sijui hamna[emoji19][emoji19]
Mkuu... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinye Kinye kisonzo, tisa kumi mangara dance .
Eeeeeee... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama?
Weee mzee ndio nini sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kangaroo ndo zao hizo. Kujimwambafai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo yawezekana ni mwembwe za kutafuta mgegedo !Mbona kama anacheza azonto?
Kama ni namba basi, walete maikyesheni tuyasoluvuHawajui kama namba ndo uwanja wako wa nyumbani
Acha niandae nguo maana povu la siasani si mchezo[emoji23][emoji23]Ukiwepo wewe hapa mi siondoki. Na Andjul. Na Mzee wa pwani. Na bro...
Jukwaa la siasa nimetegeshea mapovu. Nitakwenda kucheki mavuno baadaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unavyonishushua sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeeeee... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmhhh!Kama ni namba basi, walete maikyesheni tuyasoluvu
Akipona tu nitachukua maamuzi magumu...Hivi kwani hii ndoa bado ipo?nauliza tu[emoji87] [emoji125]
Cheamani, unataka niweke picha za aina gani sasa? Jana niliweka CHAWAMITA materials kidogo ukanilalamikia kuwa umeshikwa redi hendedi. Hata huyu sungura akicheza na familia yake naye amekuletea matatizo? Picha za aina gani sasa unataka?Weee mzee ndio nini sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]