Kanamtumia na bado kana mmendea tenaWewe ni midieta shemeji. Kama vile unatumika kuwakutanisha. Pengine ka andaeitini kanakutumia japo hujui. Kajanja sana kale !!!
Nakuhakikishia kuwa hicho ulichokiwaza ndicho kilichotokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kwanini nimewaza nilichowaza
PoleLeo ni Jumamosi. Mko wapi bandugu? Niko peke yangu hapa na haya ma namba tu hapa? What's going on? Hamjambo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwacheni ahangaike na Al Shabab wake kwanza. Akirudi hapa hapatakalika kwa gospo unless kama wamemlazimisha kusilimu. Hapo tutegemee vionjo tofauti...
Kanataka kula kote kote. Siriisamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Vitineja bwana !!!Kanamtumia na bado kana mmendea tena
Sina maana hiyooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikuulize wewe shemeji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me naonewa jamani
Halafu hata jakitoo sijamuona leo,hivi yuko wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha
Mzee liver naye anatupia za kirumi[emoji3] [emoji3] [emoji3] daaa, uzi unachizisha huu[emoji3] [emoji3]Mkuu pole [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyewe niliwakimbia mzee wa liver na Ruta.
Habari ya huko?
Uongo wangu ni upi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Muongooo
Naunga mkono hoja !!!
Nifukueeeee???????????Mimi nabishaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Kwani Yego yupo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me naonewa jamani
Halafu hata jakitoo sijamuona leo,hivi yuko wapi?