Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Watu watatu wote mmekaa genge zima hata nikibembeleza itasaidia nini? Acha tu nipambane na hali yangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo wangu ni upi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni shuhuda tu mana sipendi kupitwa
Sema SYB naye anaacha kubembeleza analalamika tu
Tumekuja, wekeni maneno tuchangie. Au mniambie kama mpo tayari kusikiliza simulizi zangu na mzichangie piaJamani tokeni mlikojificha basi mje huku[emoji22]
Uuuwiii[emoji134][emoji134][emoji134]jamani jamaniWewe ni midieta shemeji. Kama vile unatumika kuwakutanisha. Pengine ka andaeitini kanakutumia japo hujui. Kajanja sana kale !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]ila hivi vitisho kama vingekuwa vinafanya kazi angeogopa mzee wa tmkVitisho vinasaidia, ametulia tulii... Hakuna cha Somalia wala Kenya
Kumbe anahamisha watu hapa...!!Wewe ni mmoja wapo unawaitaga kuleeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we mzee weweNa vimaua maua vya uongo uongo