Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu watatu wote mmekaa genge zima hata nikibembeleza itasaidia nini? Acha tu nipambane na hali yangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pambana na huba lako shemeji,ujue mwanzo hamkua hivi?
Yaani mlikuwa kama kumbikumbi hadi wivu yani ila sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui jini mvunja mapenzi alitokea wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…