Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Wewe ni midieta shemeji. Kama vile unatumika kuwakutanisha. Pengine ka andaeitini kanakutumia japo hujui. Kajanja sana kale !!!
Da we jamaa inaniwangia kweli kweli! Na yule Mwenyekiti wako ndio balaa. Ila unajua, unapokutana na vigingi vingi kwenye safari yako ya kuelekea nchi ya ahadi, ujue tu kwamba you're almost there! [emoji23][emoji23][emoji23]