Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sikuwa na muda wa kutosha kuwepo hapa, ndani ya masaa 48 nimekuwa nikivamia nagonga likes dk chache kisha naondoka. So sikuwa na habari ya maradhi yake. Ukimuona mwambie jirani yake namtakia kheri apone haraka
Haya semezaneni[emoji116][emoji116][emoji116][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Asante sana, niko hewani muda wote mm labda ni mambo ya mtandao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…