Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hata mimi nashangaaa...Sasa unakataa nini kama hujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uchonganishi huu ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ni mapambano tu, embu kwanza ngoja nipate supu ya kongoro hapa, nitarejea! Lakini kabla sijaondoka, carbamazepine, uwe na weekend njema! Pokea kwanza hiyo present!
View attachment 589655
[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji3] [emoji3] mzee kila siku akirudi kalewa, hana muda wa kuongea na shemeji yangu. Mpaka anaomba company yangu angalau...niwe namsaidia kuangalia pamoja tamthiliaWe ushaibiwa siku nyingi sana
Dogo jeuri huyu...Hii jeuri sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata huogopi???
Umekuwa mfuasi wa Odinga na safari zenu za kinafiki kwenda nchi ya ahadi?Da we jamaa inaniwangia kweli kweli! Na yule Mwenyekiti wako ndio balaa. Ila unajua, unapokutana na vigingi vingi kwenye safari yako ya kuelekea nchi ya ahadi, ujue tu kwamba you're almost there! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani tulikuwa tunaongelea nini vile[emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba???
We mzee jiangalie mke wa mtu sumu[emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] mzee kila siku akirudi kalewa, hana muda wa kuongea na shemeji yangu. Mpaka anaomba company yangu angalau...niwe namsaidia kuangalia pamoja tamthilia
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hayaaa.... Ona dharau hizooUpendo wa Mama, Upendo wa Mke, Upendo wa Mchepuko, Upendo wa Kifamilia, Upendo kwa Shemeji, Upendo kwa jirani, Upendo wa ndugu, Upendo kwa Andjul, Upendo kwa Nsamaka, Upendo kwa Cole, Upendo kwa carbamazepine, Upendo kwa Wanauzi wote. NAWAPENDA SANA. asanteni sana
Hahaha, nacheka kwa sauti mpaka hapa mgahawani watu wamegeka kuniangalia. Kwamba umetegeshea watu wapovuke [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Cheka sanaUkiwepo wewe hapa mi siondoki. Na Andjul. Na Mzee wa pwani. Na bro...
Jukwaa la siasa nimetegeshea mapovu. Nitakwenda kucheki mavuno baadaye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uchonganishi huu ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui niipokee[emoji85] [emoji85]
Sio kweli... carba ndiye chanzo, kakumbushia vile ulivyomtafuta jaki baby usikuuu...Kumbe fitina zote zimeanzia hapa? [emoji23][emoji23]
Hahaha mpe shemeji mough aniletee.Nifungulie mlango niko na matunda hapa[emoji525][emoji526][emoji531][emoji524][emoji530][emoji522][emoji520][emoji529]
Weee unataka niwashiwe moto eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pokea bana, tunataka tuone jinsi watu watakavyo pandisha mzuka wa kimasai! [emoji23][emoji23][emoji23]