Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema huku mkuu. Mnasemaje hapo Idodomya. Godess hajambo? Msalimie sana !!!Mkuu habari za jumamosi
Kwema huku mkuu. Mnasemaje hapo Idodomya. Godess hajambo? Msalimie sana !!!Mkuu habari za jumamosi
Nimekuja kukusalimiaHadi vichwa havifanyi kazi eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui kwa nini sina imani na wewe kabisa shemeji katika hii ishu. Nisamehe tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asiteme bigijii kwankaranga za kuonjeshwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hi7. Mashoto wana uwezo mkubwa zaidi wa kufanya mambo mengi sana (multi tasking). Utafiti wa Dr. Nick Cherbuin wa Chuo Kikuu cha London unaonesha kuwa mashoto wana uwezo mkubwa zaidi wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na ndiyo sababu ni wazuri zaidi hata kwenye video games.
Helooo Linamo karibuuuuHelloooooooo
Hata sisi missing uNimewamisss
[emoji120] [emoji4]Hata sisi missing u
Zamani hiyo. Methali na misemo mingi ishapitwa na wakati kama hujui. Kalagabhahooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We nae, si wanasema kuwa mwanzo wa ngoma ni lele? [emoji23]
Kwahiyo hizi ni lele?We nae, si wanasema kuwa mwanzo wa ngoma ni lele? [emoji23]