mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
DCCXLVIW746
DCCXLVIW746
DCCXLVIIW747
Weeeee hebu niache[emoji23][emoji23][emoji23]Maneno hayo kwa hisani ya carba...
[emoji24] Baby[emoji24]Jakitoo baby. Naomba penzi letu lirudi kama zamani. Please usiache mbachao wako maridadi kwa vimisala hivi vipitavyo bila mwelekeo wo wote. Nakuomba sana [emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri vileKwa hisani ya nani?
Mkuu acha nipambane mwenyewe tu. Sihitaji cha hisani wala nini. Katika uzi huu hamna kuaminiana tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa raha zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole eeh
Tuanze upya sasa. Unanijua. Nakujua. Nobody can stop this reggae now baby. Nisamehe kama nilikukosea. Let's go [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji24] Baby[emoji24]
Siwezi kuacha mbachao kisa hawa tumetoka mbali Mpenzi..... Nisamehe kwa kukupa wasiwasi[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Najua carba me mwenyewe nimekondaaa yaani wiki mbili tuu kimodo[emoji20] [emoji20]Huku ovyo tu,SYB anakonda sababu yako[emoji23][emoji23]
Yaaani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] huyu Yego ataniuaUmejichanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]