carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Na amedhamiria kweliMwache, amedhamiria...
Na amedhamiria kweliMwache, amedhamiria...
Pambana na hali yako shemeji, hatuaminiani humu...Umbea umeniponza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chunga kilichochakoUpendo gani
Agape
Au
Halafu huyo she, nikipona tu atanitambua. Yaan hapa nimemuweka pending tu.Teh teh teh, wahenga walinena "kikulacho kinguoni mwako" kuna .... .... SHE. anatumika kutoa msaada wa kuvuruga mazizi.
Well said bro
Mzee wa zama????
Hapana lete mamboJE WAJUA...
Kumbe ni shemeji?????Pambana na hali yako shemeji, hatuaminiani humu...
Hapana lete mamboJE WAJUA...
Hapana lete mamboJE WAJUA...
Leo umeniita shemeji??[emoji15][emoji15][emoji15]Pambana na hali yako shemeji, hatuaminiani humu...
Ina maana ujui mkuu au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninaharibu vipi mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani huyo uliye mtaja ni sumu kali sana kwetu wenye umiliki humu.Embu wewe tulia tukuoneshe kazi. Hivi wapi Bob, kuja pande hii tuwapimie upya watu viwanja vya kujenga mazizi yao! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Halafu huyo she, nikipona tu atanitambua. Yaan hapa nimemuweka pending tu.
Tena na arsenal kbs, labda?Thubutu kwa blues sijui
Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi nazipika jamaa anatupia una kuwa una cha kukoment[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha namba zinakuyeyusha hata wewe
Alifaulu sayansi kimu ujue!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh
Tulia mkuu ameshakupataHuyu jamaa anakilanga cha mapenzi
Hahaha yegomasika nakuonaHalmashauri ya jiji lazima ipime upya viwanja vya mazizi! Haya ya zamani hayapo kwenye ramani ya jiji! Inauma kweli lakini ndio hivyo, hakuna namna! [emoji23][emoji23]