ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hahahha yegomasika njoo ujibu.Hicho cha sugu hata sijui kinasuguaje??? Ipo siku yake...
Kwa kila postLikes kwa likes
Ona sasa!!! Hii jeuri unaipatia wapi? Haya leo jumamosi, umeosha vyombo?We kufa hufi, ila chamoto lazima ukipate tu! [emoji23][emoji23]
Thubutu kwa blues sijuiTunamtandika mtu Sandei [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na leo tena liver wamechezea?Mtu kapigwa sita utafikiri netiboli duh !!!
Shimba kupigwa lazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bob 12 mzee wa gospo wapi
Yegoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halmashauri ya jiji lazima ipime upya viwanja vya mazizi! Haya ya zamani hayapo kwenye ramani ya jiji! Inauma kweli lakini ndio hivyo, hakuna namna! [emoji23][emoji23]
Kwa kila postLikes kwa likes
Mwache, amedhamiria...Yegooooo!!!!