myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukweli na uwazi
Dharau kwa kiwango cha juu kabisaPokea bana, tunataka tuone jinsi watu watakavyo pandisha mzuka wa kimasai! [emoji23][emoji23][emoji23]
Weee unataka niwashiwe moto eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niache mie
[emoji137][emoji137][emoji137]Nipo Yego kunani?
Usha haribu sasaHahaha mpe shemeji mough aniletee.
Nipo Yego kunani?
"Mwenye mapenzi haoni ingawa macho aanayo" Bitchuka & DDC Mlimani ParksWala hata si mjinga,sema mapenzi yamekupofua
Umuone wa kazi gani weye[emoji3] ujue hata Cole hamuamini Yego[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeh!halafu leo sijamuona ujue?au umemteka?
Wee mzee jiangalie sanaUjue mwanamke ni kama siti ya daladala, ukiinuka tu....watu wamekalia.bora iwe hivyo maana bwana Andjul unaweza pata ugonjwa wa moyo bureee
Heeeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hakuna moto nisioweza kuuzima mimi! Kila moto una aina yake ya uzimaji! [emoji23][emoji23]
Hicho cha sugu hata sijui kinasuguaje??? Ipo siku yake...Chasugu mwanawasu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umuone wa kazi gani weye[emoji3] ujue hata Cole hamuamini Yego
Peleka hela achana na maua Mwanawane !!!Sasa ni mapambano tu, embu kwanza ngoja nipate supu ya kongoro hapa, nitarejea! Lakini kabla sijaondoka, carbamazepine, uwe na weekend njema! Pokea kwanza hiyo present!
View attachment 589655
[emoji124][emoji124][emoji124]
Fukua tu shemeji usiogope. Makaburi mengine yana vito ndanimwe.Eeeee??? Shukuru sana kaburi lenyewe linamhusu SYB...
Kwa hiyo hata mimi nimo [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Walengwa ni wale wale wanaolengwa kwenye siriisamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hekima yako ikatawale mkuu. Dharau imezidi, yaani "mpenzi, nakupenda" anayatamka peupeee bila uoga