mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha usitazame chukua hatua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna gemu wanacheza naona japo wote wanakana. Mi nipo nawatazama tu !!!
Hahahahaha usitazame chukua hatua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna gemu wanacheza naona japo wote wanakana. Mi nipo nawatazama tu !!!
MTU chake bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]msukuma anakaba hadi penalt[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mzee wa tukuyu kapatikana
Sasa huyu mkerewe ana taka kote kote yaani hata simuelewi
Ningekuwa na uwezo wa kutuma kimjusi cha kugeuka mamba kama kule Nansio ningekituma kimoja kikudabue hapo cafeteria ukiwa unaosha mikono. Hufai kabisa we chasugu waongela mmaboksi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii chasugu imeleta vijimambo! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] gonja ashinde bahati nasibu ataanza fujo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] atekwe tu. Kale alishababu kametulia siku hizi
Wewe tena ukosekane na team yakoMimi sipo kwenye hiyo kesi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Nshachukua mkuu. Ukizubaa katika uzi huu unalizwa laivu mchana kweupeeee. Watu wanakuchekea full magego kumbe kwa pembeni wanakuchovyea (au wanakutafutia watu wa kuchovya) asali yako ohooo !!!Hahahahaha usitazame chukua hatua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una kumbukumbu wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku hazifanani
Unakumbuka enzi zile wanabembelezana kwenda kulala
Mara wapelekane kazini[emoji23][emoji23][emoji23]
Somalia probably MogadishuSingo faza sijui yuko wapi aiseeh!
Ningekuwa na uwezo wa kutuma kimjusi cha kugeuka mamba kama kule Nansio ningekituma kimoja kikudabue hapo cafeteria ukiwa unaosha mikono. Hufai kabisa we chasugu waongela mmaboksi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio inaonekana yaan ni hv huyo ni member mzoefu. Kiufupi ndio mwenye kiti wao.Halafu kwenye nyuzi za ubuyu lazima wakutag wewe inaelekea ni member maarufu nakuona sana sema uwa sikoment chochote napita kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Halmashauri ya jiji lazima ipime upya viwanja vya mazizi! Haya ya zamani hayapo kwenye ramani ya jiji! Inauma kweli lakini ndio hivyo, hakuna namna! [emoji23][emoji23]
Katibu embu tupia kidogo mambo ya chama lakini sio matembo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa ni wahenga na bila shaka wanajuana na kuaminiana. Hakukuwa na kesi hapo na si ajabu ......
Fukua mkuuUshahidi ninao mkubwa, mimi huwa nafuatiliaga sana.
Mtu akitaka kubisha nafukua... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fukua mkuuUshahidi ninao mkubwa, mimi huwa nafuatiliaga sana.
Mtu akitaka kubisha nafukua... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fukua mkuuUshahidi ninao mkubwa, mimi huwa nafuatiliaga sana.
Mtu akitaka kubisha nafukua... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]