Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabakie huko huko Somaliland kasirudi huku kabisa. Kanajifanya kahubiri basi kaeneze injili huko huko kwa Al Shabab mpaka watupe mabomu yao kwa hiari.

Andaeitiini si ajabu ana mamitihani. Akija hapa utasikia tu "Carba, leo ka Jakitoo kako wapi?" Na Carba naye kweli anakwenda kumuita Jakitoo halafu wote wanakaa na kuanza kujadili mambo yasiyoeleweka. Wasiwasi tupu !!!
Halafu carba aliomba zawadi ya Bomu kwa singo baba sasa sijui anataka kulifanyia nini
 
Hahaaaa, Mti mkavu hapa! Mzizi wake haufai hata kwa dawa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Majigambo tu hakuna lolote. Ufalme ufitinikao dhidi yake wenyewe utasimamaje? Swali hili la Kifalsafa liliulizwa na Bwana Yesu Mafarisayo wakabaki wanakodoleana macho tu. Ati, utajivunaje kuwa una nguvu za giza zishindazo giza lingine lote wakati wote mumo kwa mumo gizani?
 
Back
Top Bottom