Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii chasugu imeleta vijimambo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ningekuwa na uwezo wa kutuma kimjusi cha kugeuka mamba kama kule Nansio ningekituma kimoja kikudabue hapo cafeteria ukiwa unaosha mikono. Hufai kabisa we chasugu waongela mmaboksi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mzee mfupi ambaye huvaa suruali ya kitamba kizito (mpira) rangi ya pinki ama dhambarau,
Kuchwani hupenda kuvaa kofia ya sweta,
Miwani ya giza,
Koti refu, ukimuangalia kwa makini ana meno ya bandia,
Hupenda kuvuta tumbaku,
Macho mekundu,
Anapotembea kama anachechemea hivi,
Ni mtu hatari sana,
Tanesco wanamtafuta kwa kosa la kuunganishia watu umeme(kishoka)

Anatembea na chupa alizoandika ni almasi to mwadui(utapeli)

Wakati mwingine hujifanya mganga wa kienyeji.

Keshatumikia vifungo maeneo mbalimbali kwa makosa mengi ya uharifu.

Anajua kuongea kiungwana sana lakini naombeni Kokote asiaminiwe wala kupokelewa,
Msifanye huruma la sivyo mtalia na kusaga meno.
 
Ningekuwa na uwezo wa kutuma kimjusi cha kugeuka mamba kama kule Nansio ningekituma kimoja kikudabue hapo cafeteria ukiwa unaosha mikono. Hufai kabisa we chasugu waongela mmaboksi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaaaa, Mti mkavu hapa! Mzizi wake haufai hata kwa dawa! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…