myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Dah!Maviumbe mengine ndivyo yalivyo mkuu...Yameumbwa hivyo hivyo kuachama achama tu. Yakiwa na njaa kuachama, yakiwa yamevimbiwa kuachama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Idumu daimaAmani yetu idumu
Dogo ni poa sana.Dogo ujambo
Na udumu siku zoteUpendo wetu udumu
Pamoja mkuuUpendo wa Mama, Upendo wa Mke, Upendo wa Mchepuko, Upendo wa Kifamilia, Upendo kwa Shemeji, Upendo kwa jirani, Upendo wa ndugu, Upendo kwa Andjul, Upendo kwa Nsamaka, Upendo kwa Cole, Upendo kwa carbamazepine, Upendo kwa Wanauzi wote. NAWAPENDA SANA. asanteni sana
Udumu siku zoteUmoja wetu udumu
Nini kinaendelea ikulu mkuu? Naona screenshots tu bila maelezo.
Loh!ho chi minh akukata tamaa alitafuta shule fulani na kung'ang'ania somo la Physics kwa kidato cha sita kumbe yeye ni mwalimu wa michezo darasa la 3
Na kila mmojaUtu wetu uheshimiwe
[emoji818][emoji818][emoji818]Katibu embu tupia kidogo mambo ya chama lakini sio matembo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
With full of confidence[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ze mani izi baki
Na kuimarikaAfya zetu zidumu.
Siku zoteUhuru wetu udumu
Mpaka kesho asubuhiUsiku huu uwe na amani
Sawa mkuuHahahahaha