Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W839
Unatoka sare na timu ya mchanganiMabovu kuliko yale ya wiki jana mlipopigwa tano kavu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Al Shabab washindwe na walegee....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ho chi minh utapeli wake aliamiashia kwa hospital.
Alijifanya daktari kwa wamama.
Kumbe alikuwa ni mzee wa kufanya vibarua vya ujenzi
Indeed my princessHuu uzi ni therapy tosha kwa wenye stress
Mana ukiwa humu kama hutaki kucheka ni wewe tu
Full vicheko na furaha tu hapaTusameheane kama tunakwazana ama utani unavuka mipaka
Tusichukulie vitu serious,umekwazika unasema
Mimi hata miezi kadhaaa maana dahHuu uzi ikijatokea yaani ile paaaap umefutwa,aiseeh nalia wiki nzima maana nitaumwa walah[emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RAMkawe na usiku mwema nyote ambao mwaenda kulala
Wale wanaoenda mihangaikoni mkawe na siku njema
Mungu awabariki
Tuonane kesho panapomajaaliwa