mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Unataka ugomvi poti hivi unajiamini nini kwa sababu Mimi nipoHivi haka ka jakitoo mmekaona humu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
SYB ni ndugu yetu bhana
Unataka ugomvi poti hivi unajiamini nini kwa sababu Mimi nipoHivi haka ka jakitoo mmekaona humu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Hapo sawa unajivua lawamaNimeacha mzigo kwa mangi kaufuate
Nakuzoom vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dogo acha kabisa,yaliyonikuta leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu nicheke kwakwel
Mapenzi kama swimming pool ujui nani kaogelea wewe enjoy kuogelea tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ujue mwanamke ni kama siti ya daladala, ukiinuka tu....watu wamekalia.bora iwe hivyo maana bwana Andjul unaweza pata ugonjwa wa moyo bureee
Nsamaka uli mkerebe uli mzinza uli mjita nienda kumenya mwana wasuChasugu mwanawasu
Haufutwi Ng'oooAtokee basi mtu aombe mods wafute huu uzi
Hiko kinywaji ulichokunywa leo kiboko[emoji23][emoji23]ho chi minh utapeli wake aliamiashia kwa hospital.
Alijifanya daktari kwa wamama.
Kumbe alikuwa ni mzee wa kufanya vibarua vya ujenzi
Huwa napenda ukiwa unalia dogo.Huu uzi ikijatokea yaani ile paaaap umefutwa,aiseeh nalia wiki nzima maana nitaumwa walah[emoji23][emoji23][emoji23]
Niache bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuzoom vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee ukisema UK najisikia happy sanaYupo huru sana, mhusika hata sijui karogwaje huyu dogo... Shauri yake, nenda tu Uk baby...