Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W708
Safi siasa sio uaduiBREAKING NEWS
Nyalandu awa Mbunge wa kwanza wa CCM kwenda Nairobi kumpa pole Mbunge wa upinzani Tundu Lissu ila madaktari hawaruhusu kumwona hivyo katoa pole zake kwa mke wa Lissu
Nsamaka ni Msukuma pyua kwa baba na mama. Haya mambo ya uli mzinza uli mjita yanatoka wapi?Nsamaka uli mkerebe uli mzinza uli mjita nienda kumenya mwana wasu
Kama wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha ushiwaladu
HahahahahaUtasababisha anitafutie watu wasiojulikana waniumize[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na majira yakeKila jambo na wakati wake
AMUN RA19:19
Kinachonileta humu ni utani,kutaniana hivi nafurahi sana mana kama ninakitu chaniumiza akili nikija hapa na relaxNdiyo mantra yangu hiyo. Na kama hutaki utani kabisa unasema tunakuacha unakomaa na likes tu ka roboti. Yote ni sawa katika uzi huu. Andaeitiini umenisikia?
Una busara sana shemeji. Ni ndoto yangu kuonana nawe siku moja [emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji6] [emoji6]Niache bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hi mambo vipi
Joseeeee!!!!
Zama za BenUkweli na uwazi
Hahahahaha wewe kweli mkerewe nimekubali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna moto nisioweza kuuzima mimi! Kila moto una aina yake ya uzimaji! [emoji23][emoji23]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]tena wewe kama vipi lia kabisa na huo msamaha haukuhusuMi nachukulia serious na umenikwaza nakutafuta sana dogo.
Hamna msamaha hapa kwendaaaaa huko