Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W723
Umeniletea hapa kinywaji unajifanya umesahau tena.Hiko kinywaji ulichokunywa leo kiboko[emoji23][emoji23]
Halafu leo sijakuona mitaa yetu ile,kulikoni?
HahahahahaKuna mtu humu una.. sorry anatumika ili vidume viyafikie mazizi kirahisi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi Wakerewe nanyi ni wakorofi? Nimesoma nao wengi na wote walikuwa wazuri sana upstairs na sikuona purukushani yo yote wala dalili zo zote za ukiwembe. Nimeongea sana na Profesa Ruhumbika wakati ule akifuatilia miswada ya riwaya ya Bibi Bugonoka na Ntulinabo Bulihwali, na ndiye alitusimulia habari za mijusi kuwa mamba, jiwe linalocheza na mengineyo mengi. Nazijua ngoma za madogori na kasheshe zake, na ni kusudio langu kufika Namagondo siku moja.Hahahahaha wewe kweli mkerewe nimekubali [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]