Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W744
Huna maana dogo nenda usirudiKama hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Leo jamaa kaniudhi sana yani dizain kama hakujipangaUmeniletea hapa kinywaji unajifanya umesahau tena.
Leo nilikuwa na mda wa kuingia na kutoka nisingeweza kufatilia
Ndo nimeshaanza hivyo mkuu !!!Piga mistari ya nguvu Mkuu maana naona [emoji113] [emoji113]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]tena wewe kama vipi lia kabisa na huo msamaha haukuhusu
Kama umekwazika jipige vibao vya uso(in.......voice[emoji23][emoji23])
Leo nimevurugwa dogoHuna maana dogo nenda usirudi
Mjusi ama? Yaani tutafanya sherehe kabisa !!!Nitawapa dawa yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushawahi ona mtu analia bila sababu?
Eti kichwa maji?[emoji23][emoji23]