Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
W762
CarbaHadi vichwa havifanyi kazi eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani wewe subiri nikalale nikiamka utanitambua,maana si kwa kuniharibia siivii mimi leo[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu amekwazika humu, basi hii thread haimfai! Ila Mimi bado nalia tu na andjul na SHIMBA YA BUYENZE! Yaani, yaani, yaani mpaka kieleweke tu! [emoji23][emoji23]
Hahahahaha mkuuKuna viukuwadi kuwadi humu vinaendelea aisee. Ni kuwa macho. Hata mtu unayemtegemea unaweza kujikuta anatumika (bila yeye kujijua) kuingilia zizi lako. Hatari sana !!!
Hi mambo vipiHelloooooooo
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Kwendaaaaaaa
Mwambie aje bhana,tumemmiss kwakweliCarba I'm missing my Queen
Hii duo itasumbua sana season hii pep anajua mpira kwa kweli
Hebu kalale kwanza we mwanamke.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Dodoma gr8 kwa kweli nilikwenda mnadani kupata Nyama choma bila kusahau Jibapa kwa mbaliKwema huku mkuu. Mnasemaje hapo Idodomya. Godess hajambo? Msalimie sana !!!