Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
HahahahahaKwa hisani ya nani?
Mkuu acha nipambane mwenyewe tu. Sihitaji cha hisani wala nini. Katika uzi huu hamna kuaminiana tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejiharibia mwenyewe bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeeee hebu niache[emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji hana imani na mimi tena kisha andaeitini
Yaani kaniharibia siiviii huyu mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwako mkuuHeshima kwenu wakuu
Hapo sawa umerudi kwenye mstali[emoji24] Baby[emoji24]
Siwezi kuacha mbachao kisa hawa tumetoka mbali Mpenzi..... Nisamehe kwa kukupa wasiwasi[emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]
Hapo ziko nyingiNaona likes mbilimbili, tubadilike jamani. Tugawe likes.