Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tusameheane kama tunakwazana ama utani unavuka mipaka
Tusichukulie vitu serious,umekwazika unasema
Ndiyo mantra yangu hiyo. Na kama hutaki utani kabisa unasema tunakuacha unakomaa na likes tu ka roboti. Yote ni sawa katika uzi huu. Andaeitiini umenisikia?

Una busara sana shemeji. Ni ndoto yangu kuonana nawe siku moja [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Huwa napenda ukiwa unalia dogo.
12d21d0873f10f5684ddb00e2421a013.jpg
 
Huu uzi ikijatokea yaani ile paaaap umefutwa,aiseeh nalia wiki nzima maana nitaumwa walah[emoji23][emoji23][emoji23]
Kule kwenye ubuyu maubuyu si yatakuwepo?

Ile intavyuu ya malkia wa methali na misemo iliishaje? Nilifuatilia mpaka usingizi ukanishika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom