Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2048.jpg
 
Hivi Wakerewe nanyi ni wakorofi? Nimesoma nao wengi na wote walikuwa wazuri sana upstairs na sikuona purukushani yo yote wala dalili zo zote za ukiwembe. Nimeongea sana na Profesa Ruhumbika wakati ule akifuatilia miswada ya riwaya ya Bibi Bugonoka na Ntulinabo Bulihwali, na ndiye alitusimulia habari za mijusi kuwa mamba, jiwe linalocheza na mengineyo mengi. Nazijua ngoma za madogori na kasheshe zake, na ni kusudio langu kufika Namagondo siku moja.
Well come bro Siku ukiwa tayari ni suala la kinijulisha tu next month nakwenda huko almost 15 days nitakuwa visiwani
 
Back
Top Bottom