Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9416367704d4923588cd90f0e6e4ad35.jpg
Wachina na wajapan wangekuwa na mijimisa......nda[emoji57][emoji57]
 
Jakitoo. Niruhusu nilale bebi. Ni mimi mbachao wako. Ukienda kanisani leo niombee. Ombea penzi letu. Ombea mioyo yetu. Ombea fungamo hili tukufu. Simama imara. Tupiganie. Ewe binti mwema usiye na mawaa. Tutashinda. Nami bila shaka nikifumba macho leo nitakuona hapa kitandani pangu. Ukinijia. Umefunua mikono yako yenye amani ili kunipa fumbato la kweli. Nami kama kitoto kichanga kilichochoka. Nitakilaza kichwa changu katika kifua chako chenye fukuto. Nitausikiliza moyo wako ukiniimbia nyimbo tamu na kunibembeleza. Pengine nitalia. Vichozi vya moto vitakavyodondokea katika kakifua kako kale kazuri. Utapumua. Nami nitapumua. Tutapumua pamoja. Hakikisho la umoja wetu. NAKUPENDA Jakitoo [emoji131][emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]
Haya ndo mambo sasa
Cc:andjul
Umbea sijui nitaacha lini wahal[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom