JakitooHuyu binti ni habari nyingine aisee....
Bro safi sana naona Greater love sio perfect love. Safi sanaSema bro....
Inawezekana halafu sijui alikujibu vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikikumbuka natamani nifute ile naona kama nilimkwaza sana.
Poti ndo nini?msaada tafadhaliYego nitamtuliza ni poti wangu msihofu
Yaani unagongelea msumari kabisa[emoji134][emoji134]Lawama lazima ujamjua huyu shemeji yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yule wa pili ananivutia na zile stor zake so sikufuatilia interview kiivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na najua na pia we si fan mkubwa wa anaepigwa interview lala tu pole bibie.