Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baby nakusalimu[emoji137] [emoji137] umeamkaje baba

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Niko salama kabisa babe. Tangu jana moyo wangu umefunguka. Na asali ya upendo wa kweli inatononoka bila kizuizi. Asante bebi kwa kunipa upendo, furaha na amani hii sawazishi. Nimezaliwa upya !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…