Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mdo mdo tu kiongozi ulipotea sana mzaziNjema sana mkuu, naona uzi pendwa unakimbiza kama kawa.
Pale pa siki zote au unabadilisha sehemu?Eeeh!acha niwahi kona bar[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Leo kona bar[emoji19][emoji19]Pale pa siki zote au unabadilisha sehemu?
Aangalie sana. Uzi huu si salama tena. Naona kaYego tayari kameshafika na shehena ya Roses. Kako rede olo ze taimu. Hatari sana !!!
Unakataaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi??
Akhu[emoji23][emoji23][emoji23]
Vimaua haujabeba leo?
HahahahahaMkuu, ni salamu tu ya Kikerewe ndo imekuchekesha hivi au kuna jingine? KaYego haka kameniamsha kwa sababu nilikuwa nalichukulia penzi la bebi wangu for granted.