Yegooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nini sasa! Nilidhani leo una day off ya kuingia humu. Ushaharibu kila kitu sasa, ama kweli ng'ombe wa masikini hazai! [emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi hapaNimeacha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yawezekana. Kizazi hiki cha dot com hiki kinaeleweka basi?Ka Yego kanajiamini sana, sijui ni kwa ajili ya mijusi ya kule?
Football ilikuwa powa sanaYumo humu bro. Kwema? Football mmeshinda leo?
Carba ni mvumilivu sana... Lasivyo...Umekaona kaYego lakini? Halafu mdogo wangu Cole yuko somewhere anaangalia, mpira.....?
Sasa wataka nisikize nyimbo za misiba dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hafu dogo mambo ya kuingia jf huku unasikiliza songs kali kali si poa
Jamani jamani jamanii[emoji134] [emoji134] [emoji134]Riziki kitako bana. Riziki ya mtu haipotezwi, inacheleweshwa tu! Yaani wewe na Mwenyekiti wako mnaniwangia sana humu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani zakutega[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hafu dogo mambo ya kuingia jf huku unasikiliza songs kali kali si poa
Carba ni mvumilivu sana... Lasivyo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa... Kitaeleweka tu pamoja na fitna zako! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji123]