Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyegere ni mnyama hatari sana.

Anapenda kuvamia Mizinga ya nyuki na kula asali yote
 
Rafiki zangu, nimetembea tembea huko, nimekuta kizabi zabina mmoja anaushambulia uzi wetu huu. hata hivyo nimefarijika saana, maana nikakuta wenzangu numbisa, jembekillo na carbamazepine wanapambana naye vilivyo.heshima kwenu
Hata mimi nimeuona, nimetupiamo kajiwe kamoja.

Tulinde uzi wetu usichafuliwe na wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…