Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata wewe umemshindwa?
Mimi sikimbizani na mtu. Napiga zangu tu mchaka mchaka kidogo kidogo. Ningekuwa nakimbizana na mtu si ajabu ningeshapita njia za mkato kitambo - numbers and the like. Naamini katika kuweka vitu vyenye angalau kafunzo fulani au burudani na utani. Na nimejifunza mambo mengi sana hapa pamoja na kupata marafiki kama wewe.

Huwezi amini lakini hapa nipo najaribu tiba mojawapo ya Dkt Numbisa (Siyo milonge) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…