Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
...Wakuu. Ngojeni nipate mlo nitarudi. Ugali na matembele na mlenda kwa pembeni. Karibuni sana.
Nakuvuta shatiDuuh mmeniacha mbali ila hamna namna nagonga likes hadi niwakute
Hilo jibu mbona halijajitoshelezaJibu swali LA hapo chini mkuu ili tuanze mambo yetu wazee wa kubebisha.
Acha tu tumsubirie,mbona mwingine hatuja kata tamaa kumsubiri?Aisee kumbe hata kujiandaa bado[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Physics kwenye likes kula likes mkuuHewani maandishi hayatakaa...Laws of Physics zinagoma lakini haijalishi. Kula likes!
Kula likeUtazikusanya mkuu subiri
Mlenda upi Mzubo??...Wakuu. Ngojeni nipate mlo nitarudi. Ugali na matembele na mlenda kwa pembeni. Karibuni sana.
Kula likeAvailable now at Jf chit chat[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kitabu hicho mkuu, kwa wasomaji watanipataKina matumizi maalum!
kamata likes...Kitabu hicho mkuu, kwa wasomaji watanipata
HahahahUgomvi huuu
Ukiona vimeundwa....
Kula like kwanzaHahaha kwa kweli..nimemiss yale majibu yake, sijui kaenda wapi