Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,776
- 126,721
managementWealth
managementWealth
Sielewi hapoMbona hakatai kama sio Ke
Asante mlo mwema, usinogewe ukasahau kurudi...Wakuu. Ngojeni nipate mlo nitarudi. Ugali na matembele na mlenda kwa pembeni. Karibuni sana.
Hapana nomekuambia jaribu uone kama atakataaMkuu tunatishiana amani tena
Najisikia kuua tenaPesa zako zinanuka
Kula like na hizo X2Binti ukatokea×2 pendo ukanipa×2 aeee nakupenda sio siri ninakuhusudu
youLove
Kula likePokea na endelea kutoa
Speed imepungua sanaNa shaka kama atatufikia
Kula like kwa kuzimikiaAee nakuzimikia sio siri ninakuhusudu
Hodi hodi Kibiti
Nipo futar hiyo ilikuwaUpo...daku
Sisi sote ni majirani....Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana ooh haina maana kunyimana
Kula like na zuenaZuwena zuwenaa kweli nakupenda zuwena bibi ntakupata wapi mama
Niko radhi kufanya chochote (hata kukaa darasani kukusoma ww kwa miaka 7) lakin sipo radhi kukupoteza wewe.Mtaji wa maskin ni nguvu zake mwenyewe