Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Andaeitin hana sifa za ben ten jamaa anaongelea topic ambazo zilikuwepo hata sijazaliwa,huyu ni zilipendwa mwenzetu kwenye koti la andaeitin
Andaetini [emoji3] [emoji3] Ni Andaeitini wa miaka ileee. Nilichoka aliponikumbusha kitu furani hapa kitumbini DSM wakati kilitokea 1984. enzi za skuli[emoji3] [emoji3] jamaa ni muhenga[emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…