Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasas leo napenda tumfahamu aina ya swala ambae “ANAPATIKANA NCHINI TANZANIA TU” na huwezi kumpata sehemu yoyote ile duniani. Aina hii ya swala anajulikana kwa jina la “MINDE”

MINDE ni mnyama jamii ya swala ambae anapatikana nchini Tanzania tu na si kwingine kokote duniani. Mnyama huyu hupendelea sana maeneo ya misitu na yakujificha zaidi. Kadri tutakavozidi kuendelea na somo tutaona hapa nchini Tanzania wanapatikana maeneo gani na si kila eneo utawwza kumuona minde.
Napenda sana Nyama yake kwa kweli ananigharimu sana kila wiki lazima kilo mbili za swala na kilo mbili za digidigi
 
4.Uso wake una rangi ya majivu iliyo pauka na manyoya marefu yenye rangi kahawia katikati ya pembe.

5.Ana pembe fupi na zilizo chongoka zaidi zenye urefu wa sentimita 8-12

6.Mkia mfupi enye manyoa yenye rangi nyeusi pembezoni.
 
Screenshot_2017-09-17-18-15-52.png
 
Back
Top Bottom