Viv full shangwe aiseeMzima tulikumiss tu
Viv hajambo?
Karibu tena
Team yako haijakamilika kk sijamuona naona mmepoa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Salama kabisa
Hatari sanaMasantula ngoma ya mpwita
mama wa lecturesSEHEMU ANAZO PATIKANA MINDE
Minde wanapatikana maeneo makuu matatu hapa nchini. Maeneo haya ni milima ya tawa la mashariki. Mlima Kilimanjaro na maeneo ya Nyanda na juu Kusini. Ninapoongelea milima ya tawa la mashariki hapa na zungumzia hasa safu za milima ya Usambara na safu za milima ya Uluguru. Kwa upande wa Nyanda za juu Kusini tunazungumzia maeneo ka Mikoa ya Iringa, Njombe na Ruvuma.
WapiwapiKata ya 14
HahahahahaAnamnyatia nsamaka[emoji3] [emoji3] wakati anajua fika ni wife wa Andjul[emoji3] [emoji3] siyo vizuri hata kidogo
Kwema kamandaKaabil
Tulikumiss pia karibuViv full shangwe aisee
nimemiss team likers aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inafanana na nini mkuu