Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kula likesLikes
NumbisaLyrics: Karubandika - Orchestra Maquis Original
"Karubandika" from the album "Karubandika"
By Orchestra Maquis Original
Kama wewe ungenipenda
Kwa nini kunidanganya bwana wee
Kujibandika madaraka sio yako bwana wewe
Nimesikia tetesi kuwa huna lolote hata kazi huna eeh
Unazurura mchana kutwa eeh
Kupita kurandaranda mitaani
Kumbe hukuwa na uwezo wa kunioa ila kuniharibia maisha
Heri kuniambia, ukweli ulivyo kuliko kunidanganya
Nikuelewe vipi eh
Babu eh
Uaminifu wako uko wapi eh
Papa
Usinione pweke baba
Usinione pweke baba
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Kwa kukubali wito wako
Karubandika eh
Haya yote ni matatizo ya dunia baba
Haya yote ni matatizo ya dunia baba
HahahaJiran jiran yangu ee nimekukosea nn jiran kila ninachokuomba jiran mwenzangu wanikatalia
Watu wana waza 40K tuJamani vipiiii
Jirani neno panaKila unachoniomba jiran ee mimi ninakupatia
Jirni jiraniSasa nikueleweje mwenzangu ee sasa nikueleweje jirani ee
[emoji57]Weka batteries za national Panasonic, kama una remote ya king'amuzi nazo ni nzuri. Utakosa mambo ohooo
Sijui kukata tamaa.Na shaka kama atatufikia
KunyimanaMimi na wewe ni kitu kimoja haina maana ooh haina maana kunyimana
Karibu na acha kulalamikaMbona cjapata like jaman
Sawa sawa mkuu nilijua koloni lako jingineHapana nomekuambia jaribu uone kama atakataa
Kitindiga hikiBindoi bindoi ndoi ndoi
Hapo nipo mmefanya makosaSpeed imepungua sana