Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kula like na moyoNikisikia sauti yako tu mimi moyo wangu unaridhika ooh baby nakupendaaa
Kula like na moyoNikisikia sauti yako tu mimi moyo wangu unaridhika ooh baby nakupendaaa
Hayaa!Kula like
Nafagia huku nyuma mpaka nifike huko sikati Tamaa
Kula like na mapenzi kwanzaSi wa kwanza mimi kulilia mapenzi toka enzi zile za mababu zetu
Love and happiness. That's all my friend..What do want in life,?????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] [emoji23]Ngugi Wathiong'o
Nakupenda pia kula like kwanzaJaman baby nakupenda kuliko wote tumetoka mbali
Kula like kwa tamu tamuWatanzania tucheze na tamu tamu aii aii
Wewe unatoa likes. Sijapata likes yako hata moja. Jaza ujazwe ohooooo!Nipeni likes zisizopungua 50
Kula like utaamini tuOoh siamin kama tupo wote kama tupo wote mimi na wewee
Sawa mkuuNtawapa likes keshooo
HahahahaNi kweli mkuu. Nimemaliza kula ugali na tembele wala sikufurahia kisa nakimbilia likes. Ni shida [emoji23][emoji23][emoji23]
Lala mnonoAlamsikiiii
LikewiseGoodnight
Hebu fikiria kama ndo ungekuwa unaniambia mimi. Funguo hizi za gari jipya kudadadeki ungechukua tu kwa sababu kusingekuwa na namna! [emoji23][emoji23][emoji23]Nikisikia sauti yako tu mimi moyo wangu unaridhika ooh baby nakupendaaa
Karibu tena mkuuUsiku mwema wadau ,nina imani nikiamka baadaye kula daku nitakuta mshanijaza ma likes ya kutosha
Charge kwa hizi likesBetri 5%
Kula like piaUpssss usingizi