Piga chaboAliye juu
Hivi uliwahi kwenda dampo LA kigogo kuokota vitu, au ulikuta limeshahamishiwa pugu?-Kuwinda vindege Kiwalani/karakana kwenye mashamba ya mpunga?
-Kucheza mpira kwenye viwanja vya RTD?
-Kwenda disco IMASCO na kandambili? Maana viatu ilikuwa unavuliwa na wahuni pale makaburini Mombo
-Kwenda kula chips za ukwaju kwa Macheni huku unawachungulia waleeee akina nanihii?
Kwenda Coco beach /msasani club kwenye mashindano ya Prof. Jay halafu mnarudi kwa mguu mpaka Tmk? Usafiri sehemu hizo ilikuwa mwisho saa mbili usiku. Coco beach usafiri wake unakuja kubahatishia Kariakoo
Kukopa harusi kulipa
Utajenga ghorofaUsipoziba ufa
Vita si
Mzee wa zama uliwahi kuendesha magari mabovu yaliyokuwa yametelekezwa pale buguruni Rozana, nyuma ya polisi buguruni na maeneo ya Super Fanaka?-Kuwinda vindege Kiwalani/karakana kwenye mashamba ya mpunga?
-Kucheza mpira kwenye viwanja vya RTD?
-Kwenda disco IMASCO na kandambili? Maana viatu ilikuwa unavuliwa na wahuni pale makaburini Mombo
-Kwenda kula chips za ukwaju kwa Macheni huku unawachungulia waleeee akina nanihii?
Kwenda Coco beach /msasani club kwenye mashindano ya Prof. Jay halafu mnarudi kwa mguu mpaka Tmk? Usafiri sehemu hizo ilikuwa mwisho saa mbili usiku. Coco beach usafiri wake unakuja kubahatishia Kariakoo
Jua mamaMwezi -baba
Tena wa ngumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ugomvi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utajenga ghorofa
Mzee wa kidukuKorea kaskazini
Hiyo ni baada kubaini uvamizi wa zizi[emoji3] [emoji3]Stress ni nini
Stress ni pale mtu anakuongelesha kwa taratibu wewe unampayukia bila sababu ya msingi
YapJua mama