Salamu zimefikaPopote ulipo nsamaka, nakujulia hali, pole kwa maradhi. Nisalimie rafiki yangu wa zamani Andjul
hawataki amani hawa..
Mpaka kieleweke uchokozi kwenye mambo ya tija la Taifa letu hauna maana yoyote. Kwani Watanzania ndiyo wa kwanza kulalamikia uongozi wa nchi yao? Kulalamika hakuna ukomo mpaka wapate wakitakacho na hii inatokea nchi zote duniani na wewe huna haki yoyote ya kuzuia kulalamikia malalamiko hayo. Pita kimya kimya.
Mkuu hapa ni likes wacha mambo mengine we believe what we believeUnajua nakuheshimu sana. Sasa ukianza kunitusi mimi matusi nayaweza pia.
mh! 125482152314893115442336651254125 hazisomeki hata..Ujue kaisoma namba vizuri
AMUN RA wacha ipite mkuuJamaa anashangaza sana huyu!