Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baby huyu muhenga huyu anataka atuvunjie zizi letu
Ujumbe utakuwa ushamfikia laudi endi kilia. Mazizi mengine si ya kuvamia na viua vilivyonyauka na kusingizia eti uandaeitini. Muhenga anayeijua mitaa ya Dar enzi za Nyerere in details ukimbana eti oooh mshua alinisimulia. Mshua alikuwa mtaalamu wa mitaa ya Dar, night clubs, majumba ya sinema, mabasi na vikorokocho vingine visivyo na maana?

Akomeeeeee !!!!!
 
naona mnapigania kutunza maziziz yenu
safi kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiii babe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…