Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwani waumwa kifua ama??Sawa, mrejesho pulizi...
hahahahahaMabomu spesho ya kuponya....
N'ough said....
Dadangu huyu jamani....
Hebu angalau muombeeni apone kwanza basi jamani?
mhhhhhh!!!Yego kaokoka
Ni utani 100%Kwamba jana niliharibu? Sikumbuki mkuu, nisamehewe bure tu kama nilimkwaza mtu
Mimi ni lege lege?wewe hapo😎
Heeee![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]hahahahaha
halafu ili apone vizuri natakiwa nimpeleke mount kilimanjaro kwanza😉😉
Kibo au Mawenzi?hahahahaha
halafu ili apone vizuri natakiwa nimpeleke mount kilimanjaro kwanza😉😉
Ile comment ilibidi nisome mara mbilimbili maana nilicheka[emoji23][emoji23][emoji23]sijui hata aliwaza nini huyu mzeeNi utani 100%
Ni utani 100%
Pale uliposema "itunze vizuri"...tukacheka, ukazodolewa....
Ni utani 100%
99.9% katika uzi huu ni utani....
usiweke mikono kichwani weweHeeee![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
moja kibo hiyo baba akeKibo au Mawenzi?
Kweli umerudi kivingine kutoka Mogadishu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah!![emoji134][emoji134]usiweke mikono kichwani wewe
ndivyo hali ilivyo
yani somalia raha sana
yani unahitaji ufanyiwe maombi maalumu wewe mzeeMimi ni lege lege?
hebu fafanua kitu gani unashangaa wewe dokta😎😎Daaah!![emoji134][emoji134]
Bado nashangaa kwakwel
Gheresha tu. Si ajabu akarudi hapa na mzigo wa maua kalenga zizi la mtu [emoji23][emoji23][emoji23]Yego kaokoka
Jamani jamani jamanii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mimi huyo!!!!!!?Wewe unajifanya hujui[emoji41][emoji41][emoji41]
Hawa vijana ni pasua kichwa kwakweliGheresha tu. Si ajabu akarudi hapa na mzigo wa maua kalenga zizi la mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni mara karibu ya sita Bob anaokoka lakini tabia bado zile zile tu. Kuokoka siyo maneno ni vitendo shemeji