Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawaza tu ile picha uliyo mchora muonekano wake... Kamwinuko nyuma ulikaweka?
 
Zizi gani mzee wa Pwani la kwangu mimi aliwezi vamiwa milele
Mwanamke usimlie yamini, jiamini mwenyewe. vinginevyo usikubali penzi likupofue. Pia tambua mwanamke asili yake ni ubavu, na ubavu umepinda, hautanyooka maana ni maumbile yake. jitihahada za kuunyoosha lazima uwe mwangalifu vinginevyo utauvunja. Kwa leo tuishie hapa.
 
Hizi busara azione@andjul,SHIMBA YA BUYENZE na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…