carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hali leo wala keshoHuyo mane hata akirudi hawana jipya
sisi asenali tunasubiri tu mzee wenga ajifie basi
teh teh tehHakuna atakayekuja kumtetea msela wangu
Ni mimi pekee
Mkubalie tu ombi lake kwa v[emoji23][emoji23][emoji23]
tutasubiri tu hata kesho kutwaHali leo wala kesho
Mpambane na hali zenu tu
Jamani
Yani nyie kumpata Viv msahau kabisaJamani
Kwani Kichwa anashida gani jamani[emoji23][emoji23][emoji23]Yani nyie kumpata Viv msahau kabisa
yani baba unamuacha mtoto wako aolewe na mtu anajiita kichwa kichafu hahahaha
hahahahahahaMzee wa liver huyo hapo
hahahahahaKwani Kichwa anashida gani jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona ni mtu mzuri tu?anaupendo,anajali na kadha wa kadha
Mpe v huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Tutazifunga p.o.p[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaha
acha kunivunja mbavu mie
Hiyo ni netiboli ama?Barcelona 5 - 1 Eibar
dk 73