Habarini wapendwa wote
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine mpya
Tumshukuru pia kwa watu wote walio maishani mwetu,mana wengine ni baraka na wengine wanatufundisha
Tunapopata wasaa tujaribu waombea na kusaidia wengine wenye madhira mbalimbali
Mungu atubariki sote,amin[emoji120][emoji120][emoji120]
Neno[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
If someone points out your mistake, be happy that at least someone is interested in your perfection and success"
*"Determination defines your destination"*
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
Bi Mkubwa alikuwa kichwa sanaNothing in life is to be feared. It is only to be understood.
Marie Curie
Mimi naongezea kitofauti😀.moja okonkwo
man of action
AMEN.Tumshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa ulinzi na neema na baraka zake tele kwa Siku ya jana