carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Pole sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wajanja waliniotea wakanipiga ndolema [emoji23][emoji23]
Mchina niaje mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Likes za uzi huu zinawapa kiwewe baadhi ya memba majukwaani huko
Gudi moningi mzee wa 2gGood morning UNGUJA
Hahahahaha wewe noma sanaNadhani ipielo ni tamu kuliko naniniinii... Pipi kifua bado zipo madukani?
Salama kabisaHabari za asubuhi kwa wale mlifikwa na asubuhi, habari za jioni, habari za mchana, habari za usiku kwenye maeneo yote mlipo duniani.
Du
AminHivyo tuombeane kila la heri siku hii iende salama na iishe salama