ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Stress gani hizo dogo hadi uanze kugawa usingizi nini tena huko usinitie hofu dogo.Msela acha tu,jana usingizi ulikuwa wa mgao aiseeh,yaani unakuja unakata[emoji30][emoji30]
Yule jirani toka nimkute na jose wanapetiana saiv ananipa tuhuma tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] .Mzima lakini?jirani yako alinipa ujumbe wako
Kichwa salama rafikiStress gani hizo dogo hadi uanze kugawa usingizi nini tena huko usinitie hofu dogo.
Mzee wa kudhaminisha mikia.