Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Simba na Nyumbu
Kama ungekuwa mtihani basi tungesema hawa wawili wamegongana, nyumbu ndio mnyama mjinga porini kati ya wanyama wenye miili mikubwa, anaweza akawa anakula majani na akajiuliza kwanini sikimbii na akaanza kukimbia, na wakati anakimbia akajiuliza kwanini nakimbia akaacha kukimbia, ni wanyama ambao maamuzi yao hufanyika pasina utaratibu na pasina ulazima wa kufanya hivyo, wakati upande wa simba ni mnyama ambaye hujipanga kabla ya kufanya jambo lolote, hawa jamaa wana uwezo sawa katika mbio, sababu kuu ambayo hufanya simba kuwakamata kiurahisi ni kwa sababu huwawinda kwa akili sana lakini kwa kesi ya mbio wasijemsingizia mtu na simba wote hukimbia km 80.5 kwa saa moja.
 
Mbwa Mwitu.
Ukiwaona huwezi kuwazania ni wanyama wadogo sana wanaokula nyama na wawindaji, katika umbo hata fisi ni mkubwa kwao, wana heshima kubwa hawa jamaa si fisi wala simba huwa wanawaheshimu, wakiwa na nyama wanawaachia bila shuruti, ubabe wao huwa kwakuwa wanatembea kwa makundi makubwa kama vibaka wa panya road, maisha yao ni mpera mpela usikosee ukapita jilani yao una damu umekwisha, hawapatani na damu kabisa wakiiona tuu majini yao huamka, hata mwenzao wanaweza kumla, vidogo vina nguvu, wakati mwingine huangusha hata wanyama wakubwa, tabia yao ni kung’ata akitoka na nyama anakula kisha anafuta mdomo anarudi tena kuifata, sifa yao nyingine ni mbio wanauwezo wa kukimbia umbali wa km 71 kwa saa moja tuu.
 
Pundamilia
Ni mnyama anayekula majani tuu, msafi na mrembo ana ngozi yenye kuvutia inayonakishiwa na mistari mieupe na mieusi, anapiga sana mateke unapokutana na simba mdomo umepinda we jua tuu muhusika anaweza kuwa pundamilia, kama farasi angelikuwa ni mnyama wa polini basi angekuwa juu ya pundamilia kwani wakati farasi akimaliza km 70 kwa saa, pundamilia hutumia saa moja kwa km 64.
 
FISI
Al maarufu kama bwana afya, pamoja na kuwa na miguu mifupi ya nyuma, lakini huyu jamaa huenda akawa ndio miongoni mwa wanyama wawindaji ambao wanashika mkia kwa spid ndogo, sifa yake ya kipekee yeye huweza kukimbia umbali mrefu kwa taratibu, lakini akiamua kufunguka njaa inapotaka kuzidi viwango, huweza kutumia saa moja kwa km 60, ila ni nadra sana kumuona akifanya hivyo kwakuwa amezoea vitu laini laini tuu, kama uporaji na kujitafutia mizoga pamoja na mifupa.
 
Nafikiri hata nikiishia hapa si mbaya kwakuwa nitakuwa nimekupa mwanga kidogo, sababu ya kuukata uzi huu hapa ni hivi anayeweza kufuata baada ya fisi kwa mbio ni mwanadamu, akina Bolt wanaiweza michezo hiyo, kikubwa cha tofauti kwa wanadamu ni kuwa hutofautiana kwa kiasi kikubwa katika kukimbia, tofauti na wanyama ambao kwa kiasi kikubwa hufanana.
kwa wale ambao watakuwa hawaelewi km zikoje ngoja nikufafanulie km 1 sawa sawa na mita 1000, na mita 1000 ni sawa na viwanja kumi vya mpira wa miguu uviunganishe, kama bado hujanielewa sikia na hii umbali wa kutoka Dsm mpaka mbeya ni km 880
 
na Dsm to Mwanza ni 1200, hivyo kusingekuwa kuchoka chui alikuwa na uwezo wa kutoka Dsm mpaka Mwanza kwa saa 10 tuu, na kwa swala pia angetumia saa 10 kutoka Dsm kwenda mbeya, bahati mbaya cc zao si za kupasua anga hizo, hebu mwacheni Mungu aitwe Mungu, kwa maajabu haya unafikili umebakiza nini kwenda mbugani kuwatizama hawa JAMAAA.
 
The song, which goes to the tune of the Stone Roses song ‘Made of Stone’ and makes two references to the size of the Belgian's manhood, was sung by a small section of supporters during the Champions League match against FC Basel and is believed to have been repeated in Sunday’s 4-0 win over Everton, during which the striker scored.
 
Kick It Out have subsequently written to the club, after deeming the song “offensive and discriminatory”.
The Times quote a Kick It Out spokesman as saying: “Kick It Out is aware of the footage of the alleged racist chanting by supporters of Manchester United that emerged on Wednesday evening [13 September].
 
The lyrics used in the chant are offensive and discriminatory. Racist stereotypes are never acceptable in football or wider society, irrespective of showing support for a player.
“We have contacted Manchester United and will be working closely with them and the FA to ensure that the issue is addressed swiftly. The perpetrators can expect to face punishment.”
 
Back
Top Bottom