Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
dogorasi mikwara mingi sanaKiduku kwenye ubora wake
na ndiyo kinachompa kiburiUsimuombee mabaya mzee wenga, mchango aliotoa kwenye timu hiyo ni mkubwa mno
ndiyo ubovu wenyewe shekh wanguLiver siyo mbovu kama Arsenal,Liverpool inakosa mipango furani eneo la ulinzi
atleast Benitez alijaribu kutuonyesha the real liverpoolNakubaliana na wewe, yaliyowakuta man u msimu uliyopita huwenda yakaikuta liver mzimu huu. ni habari mbaya kwetu
huyu jamaa hatari sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
kuna kichwa cha kukabidhi mwanao ila siyo kichafuHo chi Minh ndiye rafiki yake tutamuuliza tabia za kk